Dec 7, 2014

Sanaaa ya kuchora watu 'live'

Tukiwa pamoja na wasanii wazoefu katika kuchora katuni hapa Tanzania Cloud Chatanda wa kwanza  anae kutazama Amani abeid anaechora pamoja Paul Ndunguru. tukichora katika sherehe ya wafanyakazi wa Stanbic Bank kama watumbuizaji kwa kutumia usanii wetu wa kuchora.


No comments:

Post a Comment